Header Ads

Responsive Ads Here

Mkuu wa Wizara ya Pasipoti za Ndani na Shirika la Uandikishaji wa Raia wa Jamhuri ya Sudani atembelea Uhamiaji, Tanzania


DSC_7468
Mkuu wa Wizara ya Paspoti za Ndani na Shirika la Uandikishaji wa Raia wa Jamhuri ya Sudan, Luteni Jenerali Awad Al Neil Dahia, (katikati) akikabidhi hedaya kwa Kaimu Kamishna Jenerali waUhamiaji, Hannelore M. Manyanga, baada ya kikao ambacho Maafisa Uhamiaji toka Vitengo vya TEHEMA na Udhibiti wa Mipaka waliwasilisha mbinu anuaia za kudhibiti Wahamiaji.

DSC_7498Naibu Kamishna wa Uhamiaji, Fulgence Mutarasha,Mfawidhi wa Kituo cha Uhamiaji Uwanja wa NdegeMwl. JK Nyerere akitoa maelezo ya Utendaji wa Shughuli za Kiuhamiaji kwa mgeni wake,Mkuu wa Wizara ya Paspoti za Ndani na Shirika la Uandikishaji wa Raia wa Jamhuri ya Sudan, Luteni Jenerali Awad Al Neil Dahia, (katikati) ambaye alisindikizwa na Maafisa toka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Shirika la Uhamiaji la Kimataifa, IOM, Tanzania.
DSC_7534
MkuuwaWizarayaPaspotizaNdaninaShirika la UandikishajiwaRaiawaJamhuriya Sudan, LuteniJeneraliAwad Al Neil Dahia, (katikati) akipitishwaeneo la KuwasiliAbiliandaniyaUwanjawaNdegeMwl. J.K NyererealipotembeleaKituo cha UhamiajiuwanjanihapokujifunzashughulizaUhamiaji Tanzania
……………………..

No comments