Header Ads

Responsive Ads Here

Mkuu wa Mkoa wa Tabora akikagua barabara za Manispaa ya Tabora


Meneja tanroads
Meneja wa Wakala  wa Barabara nchini (TANROADS)  mkoani Tabora Mhandisi Damian Ndabalinzeakitoa ufafunuzi jana mjini hapa kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggery Mwanri (hayupo katika picha)  wakati wa ziara yake alipokwenda kukagua  maendeleo ya ujenzi wa baraabara ya Kiloleni inayojengwa kwa kiwango cha lami kwa ufadhili wa Benki ya Dunia.

mkuu 1
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akitoa ufafanuzi kwa Mkandarasi aliyepewa kazi ya kujenga ya barabara ya Kiloleni ya mjini Tabora inayojengwa kwa kiwango cha lami kwa ufadhili wa Benki ya Dunia. Mkuu huyo wa Mkoa aliendesha zoezi hilo jana mjini baada kikao kazi cha siku cha Mameneja wa Wakala wa Barabara za vijijini na Mjini Tanzania (TARURA) kutoka Wilaya mbalimbali za  mkoa huo
mkuu wa mkoa
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akipima upana wa barabara ya Kiloleni  inayojengwa kwa kiwango cha lami kwa ufadhili wa Benki ya Dunia. Mkuu huyo wa Mkoa aliendesha zoezi hilo jana mjini baada kikao kazi cha siku cha Mameneja wa Wakala wa Barabara za vijijini na Mjini Tanzania (TARURA) kutoka Wilaya mbalimbali za  mkoa huo
RC1
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akifungua kikao kazi jana cha siku cha Mameneja wa Wakala wa Barabara za vijijini na Mjini Tanzania (TARURA) kutoka Wilaya mbalimbali za  mkoa huo
 Picha zote na Tiganya Vincent-RS Tabora

No comments