Header Ads

Responsive Ads Here

MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA MKOA WA KUSINI UNGUJA


DSC_7651
Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa cha SUZA katika Mkutano wa Majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika leo Kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati,[Picha na Ikulu.] 17/08/2017.
DSC_7660
Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa cha SUZA katika Mkutano wa Majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika leo Kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati,[Picha na Ikulu.] 17/08/2017.
DSC_7693
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Chama cha  Mapinduzi katika Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika Mkutano wa Majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika leo Kampasi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Tunguu Wilaya ya Kati,[Picha na Ikulu.] 17/08/2017.
DSC_7706
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali katika Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika Mkutano wa Majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika leo Kampasi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar SUZA Tunguu Wilaya ya Kati,[Picha na Ikulu.] 17/08/2017.
DSC_7731
Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katika) alipokuwa akizungumza na Viongozi na Wananchi katika Mkutano wa Majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Wilaya ya Kati na Kusini katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA katika Kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo,(kulia) Waziri wa nchi Ofisi ya Rais tawalaza Mikoa,Serikali za Mitaa Mhe.Haji Omar Kheir na Idara maalum za SMZ na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe.Idrissa  Kitwana Mustafa,[Picha na Ikulu.] 17/08/2017.
 

No comments