Header Ads

Responsive Ads Here

MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA ATANGAZA HALI YA HATARI KWA WAVAMIZI WA MAENEO , UJENZI HOLELA


WAMILIKI
Baadhi ya wamiliki wa nyumba za kupanga katika Manispaa ya Dodoma wakimsikiliza Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi (hayupo pichani) wakati wa mkutano uliowakutanisha wadau hao na Mkurugenzi huyo jana Katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Dodoma. 

MD N HODS
Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi akizungumza na wamiliki wa nyumba za kupanga Manispaa ya Dodoma (hawapo pichani) wakati wa mkutano uliowakutanisha wadau hao na Mkurugenzi huyo jana Katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Dodoma.
  PICHA NA RAMDHANI JUMA.
………………………..
NA RAMADHANI JUMA
OFISI YA MKURUGENZI

 MKURUGENZI waManispaaya Dodoma Godwin KunambiametoawitokwawakaziwaManispaahiyokuachamaramojauvamiziwamaeneoyawazinayaliyotengwakwaajiliyahifadhizamisituambapowatakaobainikawatachukuliwahatua kali zakisheria.
Aidhaamewatakawanaojenganyumbazamakaziau zabiasharakatikamaeneoyasiyorasminaambayohayakupimwakusitishashughulizaujenzinakubomoamajengohayokwahiyariyaovinginevyoHalmashauriyaManispaaitayabomoa.
AlisemahayojanawakatiakizungumzawawamilikiwanyumbazakupanganaMaofisaWatendajiwa Kata waManispaayaDodoma katikaukumbiwa Dodoma Sekondari,ambapoalisemakujengakatikamaeneoyasiyopimwanikinyumenasherianaManispaaya Dodoma imejipangakusimamiahilokikamilifu.
AlisemaManispaaya Dodoma imejipangakuanzaupimajiwaviwanjakwakasiilikuwawezeshawananchihususanwakaziwaDodoma kujengakwakuzingatiasheriazaMipangoMijinakwambaupimajihuoutaendasambambanautoajiwavibalivyaujenzikatikakipindikisichozisikusabakwammilikiwakiwanja.
Kwaupandewawamilikiwanyumbazakupanga, aliwatakakuungananakuwanaumojanauongoziwaoilikuepukananamadalaliambaobaadhiyaosiowaaminifu, hukuakiwapachangamotoyakujenganyumbazaidizamakazinakuziimarishazilizopohukuakiwajulishakuwa, hivikaribuniwatumishiwaSerikalizaidiya 2,000wanatarajiwakuhamiaMjini Dodoma ikiwaniawamuyapiliyaSerikalikuhamia Dodoma hivyomahitajiyanyumbazakuishiyatakuwamakubwa

No comments