Header Ads

Responsive Ads Here

MHE. KAIRUKI AFANYA MAZUNGUMZO YA KIKAZI NA BALOZI WA JAPAN NCHINI TANZANIA


DSC08953
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania (kushoto), Bw. Masaharu Yoshida alipofanya ziara ya kikazi ofisini kwake.

DSC08984
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania (kulia), Bw. Masaharu Yoshida alipofanya ziara ya kikazi ofisini kwake.
DSC09007
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza Balozi wa Japan nchini Tanzania (kushoto), Bw. Masaharu Yoshida alipofanya ziara ya kikazi ofisini kwake.

No comments