Header Ads

Responsive Ads Here

MHE. KAIRUKI AAGANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE


DSC09014
Balozi wa China nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Dr.Lu Youqing (kulia), akimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) alipokwenda kumuaga ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Wengine ni watumishi walioambatana na Balozi.

DSC09047
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Dr.Lu Youqing (katikati), aliyefika ofisini kwake jijini Dar es Salaam kumuaga.
DSC09051
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza Balozi wa China nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Dr.Lu Youqing (katikati), aliyefika ofisini kwake jijini Dar es Salaam kumuaga.
DSC09072
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akikabidhi zawadi kwa Balozi wa China nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Dr.Lu Youqing, aliyefika ofisini kwake jijini Dar es Salaam kumuaga.

No comments