Header Ads

Responsive Ads Here

MGOMBEA URAIS WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU (TFF) IMANI MADEGA AZINDUA KAMPENI ZAKE


1
Mgombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini Tanzania (TFF) Bw. Imani Madega akiziungumza na waandishi wa habari wakati akizindua rasmi kampeni zake kwenye hoteli ya New Africa Mchana huu jijini Dar es salaam huku akiwa ameongozana na baadhi ya wadau wa mpira wa miguu Kulia ni Bw. Kaligo.Uchaguzi wa (TFF) unatarajiwa kufanyika tarehe 12 mwezi huu  jumamosi mjini Dodoma

2
Mgombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini Tanzania (TFF) Bw. Imani Madega akielezea zaidi kwa waandishi wa habari  wakati akizindua kampeni zake kulia ni Mdau wa mpira Bw. Kaligo na kushoto ni Mdau mwingine wa Mpira Bw. Evarist Hagila.
34
Baadhi ya waandishi hao wakifuatilia mkutano huo.

No comments