Header Ads

Responsive Ads Here

MBUNGE WA TANGA MUSSA MBARUKU ATEMBELEA KITUO CHA TV CHA TANGA


 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili
katika kituo cha Television cha Jiji la Tanga (Tanga TV) akiwa na
wajumbe wa kamati ya Mfuko wa Jimbo kuangalia fedha za mfuko wa Jimbo
zilivyotumika kulia ni Meneja wa kituo hicho,Mussa Labani
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku kulia akimsikiliza Afisa Mipango na Uchumi wa Jiji
la Tanga ambaye pia ni Katibu wa Mfuko wa Jimbo,Ramadhani Possi mara
baada ya kusaini kitabu hicho
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku akiwa na wajumbe wa kamati hiyo wakiorozesha baadhi
ya vitu wakati wa ziara hiyo
 Mbunge wa Jimbo la Tanga
(CUF) Alhaj Mussa Mbaruku katika akimsikiliza Meneja wa kituo
hicho,Mussa Labani kushoto
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku wa pili kutoka kushoro akipewa maelekezo na Meneja
wa Kituo cha Tanga TV Mussa Labani
 Afisa Mipango na Uchumi wa Jiji
la Tanga ambaye pia ni Katibu wa Mfuko wa Jimbo,Ramadhani Possi wa pili
kutoka kushoto akimuonyesha jambo  Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj
Mussa Mbaruku
Picha ya pamoja baada ya
kumaliza ziara hiyo 
Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha

No comments