Header Ads

Responsive Ads Here

MBUNGE WA JIMBO LA MKURANGA MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI DARASA LA SABA


 Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Mkokozi, Makariusy Kihawa akizungumza jambo wakati wa Mahafali ya Nne yaliyofanyika Mkuranga, Mkoa wa Pwani,   jana. ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Abdallah Ulega (pichani hayupo) (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega (wapili kulia) akisaini katika kitabu cha wageni, wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Bakari Mtulia na kulia ni Diwani wa Kata ya Mwandege Wilaya ya Mkuranga, Adolph Koelo
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega (aliye simama) akizungumza jambo na katika  mahafali ya Darasa la Saba 
Baadhi ya wanafunzi wakionyesha jinsi juice na chama (chipsy) zinavyo changia kuongeza maradhi
Baadhi ya wanafunzi wakionyesha wazazi mambo waliyofundishwa Shule hapo ambayo ni ya Kisayansi zaidi, nakuwaasa wazazi wao kuacha kuwanunulia juice na chipsy (chama)

Moja wa wanafunzi akionyesha jinsi chama inayo kuwa kama gundi na akahoji, anatumia maji kukosha na haitoki je, tumboni utakosha na nini
Mwanafunzi, Ally Chizoro akionyesha paketi ya chipsy na akatoa wito kwa wazazi kutopenda kuwanunulia kitu hicho kwani vina madhara

Mwalimu wa Sayansi na Hisabati Shule ya Msingi Mkokozi, Anthony Ungelleh akisisitizia jambo hilo la kutopenda wazazi kuwanunuli chama watotowao na juice 
Mwanafunzi, Ally Chizoro akigawa chama (chipsy) na akatoa wito kwa wazazi kutopenda kuwanunulia kitu hicho 
Wazazi 
Wazazi wakifatilia Mahafali hayo kwa umakini mkubwa
Wanafunzi wanao hitimu Darasa la Saba wakicheza kwaito
Walimu wakishirikiana na wanafunzi wanao hitimu kucheza kwaito
Mwalimu Aneth Msuya akitoa burudani pamoja na wahitimu hao wakati wa Mahafali yao jana
Mbunge wa jimbo hilo akiwasili viwanja vya Shule hiyo
Mwalimu wa Taaluma,  Hadija Maarifa (kushoto)  akiwaongoza wahitimu hao kuimba nyimbo 
Afisa Elimu Kata ya Mwandege, Zainabu Mangare (kushoto) akimkabidhi mhitimu Bilali Mussa wakati wa mahafali hayo baada ya Mbunge kufungua 
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega (wa pili kushoto) akimkabidhi cheti Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mkokozi, Ally Chizora  aliyeshika nafasi ya kwanza kati ya wanafunzi 139  darasani, Kata na Wilaya wakati wa Mahafali ya Nne yaliyofanyika, Mkuranga, Mkoa wa Pwani jana.


No comments