Header Ads

Responsive Ads Here

MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA LEO LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA


SeeBait
 
 

Ligi kuu ya Vodacom imefunguliwa leo Agosti 26 ,2017 kwa kuchezwa michezo saba katika viwanja mbalimbali. 

Yafuatayo ni matokeo ya mechi zote saba za leo

1.Simba 7-0 Ruvu shooting 
2.Mwadui 2-1 Singida United
3. Ndanda 0- 1 Azam -
4.Kagera sugar 0-1 Mbao
5.Njombe Mji 0-2 Tanzania Prisons
6.Mbeya City 1-0 Majimaji
7. Mtibwa 1-0 Stand United

Kesho jumapili Agosti 27,2017 kutakuwa na mechi moja,Yanga watavaana na Lipuli.Mchezo utachezwa katika uwanja wa Uhuru Dar es salam saa kumi jioni

No comments