Header Ads

Responsive Ads Here

MANISPAA YA DODOMA YATENGA ENEO MAALUM KWA AJILI YA MACHINGA


md
Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi akizugumza na wakati wa mkutano wa Baraza la Madiwani la kufunga mwaka wa fedha 2016/2017 uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Manispaa ya Dodoma.

PICHA NA RAMADHANI JUMA
………………….
NA RAMADHANI JUMA
OFISI YA MKURUGENZI
HALMASHAURI yaManispaaya Dodomaimetengaeneo la Makole D-Center lililokokatikatiyaMjiwa Dodoma kuwaeneorasmikwaajiliyawafanyabiasharandogomaarufukamaMachingakufanyabiasharazaobadalayakupagabidhaaovyomitaanihaliinayopelekeakuhaributaswirayamji.
Hatuahiyopiaitasaidiakuendananakasikubwayaongezeko la wafanyabiasharahaokuingiaMjinihumokutokamikoambalimbalinchinitanguSerikaliilipohamiarasmi Dodoma ambakoniMakaoMakuuyaNchi.
AkizugumzakatikamkutanowaBaraza la Madiwani la kufungawafedhauliopitalililofanyikamwishonimwa wiki iliyopitakatikaukumbiwaManispaahiyo, MkurugenziwaManispaaya Dodoma Godwinaliyewajulishawajumbenawananchikuwa,sasaManispaaikokatikahatuazamwishokukamilishaujenziwamiundombinumuhimukatikaeneohiloikiwemovyooilishughulizabiasharazifanyikekatikamazingirasalamanarafiki.
“TunatarajiaeneohilolitakuwatayarikufikiamwishowamweziAgosti au mwanzowamweziSeptembamwakahuumaramojatutaanzazoezi la kuwahamishiawafanyabiasharahao pale” alifafanua.
AlisemaManispaainashirikianakwakaribunaviongoziwawafanyabiasharahaokatikazoezihilo, nakwambaendapoeneohilohalitatosha, wafanyabiasharawenginewatahamishiwakatikaeneo la Chaduru .
TayariManispaaya Dodoma ilishaanzazoezi la kuwaondoawafanyabiasharawaMatundanachakulakatikamaeneoyasiyorasminakuwahamishiakatikamaeneorasmiyamasokoikiwemosoko la Sabasaba, Bonanza, naTambukareli.

No comments