Header Ads

Responsive Ads Here

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI NCHINI


_R7A5056
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Inmi Patterson (Katikati) aliyongozana na Ofisa wa masuala ya Siasa Lauren M. Ladenson (kushoto) ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam.

_R7A5082
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe.Inmi Patterson aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam na kujitambulisha na kufanya mazungumzo kwa mara ya kwanza tangu alipowasili nchini.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments