Header Ads

Responsive Ads Here

Mahojiano na Mch Absalom Nasuwa kuhusu Mkutano wa Askofu Gwajima DC


Karibu na asante kwa kujiunga nasi Kanisa la Umoja International Outreach lililopo jijini Dallas Texas limeandaa mikutano ya injili katika maeneo ya Texas na Washington DNV. Mwanzilishi na Mchungaji kiongozi wa kanisa hilo, Mch Absalom Nasuwa alizungumza nami kuhusu mkutano huo KARIBU Pia Mch Nasuwa alizungumzia huduma yake

No comments