Header Ads

Responsive Ads Here

MAHAKAMA YA TANZANIA KUANZISHA KITUO CHA MAFUNZO JIJINI DAR ES SALAAM


DSC08034
KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA PROF. IBRAHIM HAMIS JUMA (KATIKATI) AKIWA NA MWAKILISHI WA BERNKI YA DUNIA NCHINI, BELLA BIRD (KULIA) NA KULIA NI JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU YA TANZNAIA MHE. FERDINAND WAMBALI WALIPOTEMBELEA UJENZI WA KITUO CHA MAFUNZO CHA MAHAKAMA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

DSC08142
MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA, HUSSEIN KATTANGA AKIZUNGUMZA JAMBO NA MTAALAM KUTOKA BENKI YA DUNIA, WALEED MALIK WALIPOTEMBELEA UJENZI WA KITUO CHA MAFUNZO CHA MAHAKAMA KINACHOJENGWA KWA USHIRIKIANO KATI YA MAHAKAMA NA BENKI YA DUNIA. KITUO HICHO KINAJENGWA KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM.  
DSC08081
MHANDISI WA MAHAKAMA YA TANZANIA, KHAMADU KITUNZI AKIELEZEA TEKNOLOJIA INAYOTUMIKA KUJENGA JENGO LA KITUO CHA MAFUNZO CHA MAHAKAMA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
…………………………
Na Mohamed Ali-Mahakama
Mahakamaya Tanzania inakusudiakuanzishakituo cha Mafunzokwaajiliyawatumishi wake pamojanawadauilikuwaongezeaujuziutakaosaidiakuboreshahudumazinazotolewanaMahakama.
Kituohichokinachojengwakatikaeneo la MahakamayaKisutujijini Dar es salaam kitawaunganishawatumishiwaMahakamanawadaukatikamafunzo kwa njiaya video (video conferencing).
AkizungumziaKituohicho, KaimuJajiMkuuwa Tanzania Mhe. Prof Ibrahim HamisJumaalisemaujenziwakituohichonisehemuyaMaboreshoyahudumazaMahakamaambachopiawadauwaMahakamawatakuwanisehemuyamafunzoyatakayokuwayakitolewa.
AlisemabadalayaMajaji, Mahakimu, watumishinawadauwaMahakamakwendakupatabaadhiyamafunzokwenyechuo cha UongoziwaMahakama- Lushoto (IJA), baadhiyamafunzowatakuwawakiyapatakatikakituohicho.
NayeMratibuwaMpangoMkakatiwaMahakamapamojanamaboreshoyaHudumazaMahakamaMhe. ZaharaMarumaalisemaujenziwakituohichoniutekelezajiwanguzoyatatuyampangoMkakatiwamiakamitanowaMahakamaya Tanzania ambapokupitianguzoyapiliyaMpangohuo, MajajinaMahakimuhupatiwamafunzombalimbaliilikurahisishaupatikanajiwahaki kwa wakati.
AkizungumzianguzoyatatuyaMpangohuo, Mhe. Marumaalisemanguzohiyoinahusiananaurejeshajiwaimaniyawananchi kwa MahakamanaushirikishwajiwawadaukatikashughulizaMahakamaambapokupitiakituohichowadauwaMahakamawatahusishwakwenyeMafunzombalimbaliilikurahisishasuala la upatikanajiwaHaki.
Kuhususuala la matumiziyaTeknolojiandaniyaMahakama, MratibuhuyoalisemahivisasaMahakamainaompangowakujengavituovyaainahiyokwenyemaeneombalimbalinchini kwa lengo la kuunganishaMahakamazotenchini kwa njiaya video (video conferencing).
Ujenziwakituo cha Mafunzo cha Mahakamaulioanzahivikaribuni kwa ushirikianokatiyaMahakamaya Tanzania naBenkiyaDuniaunatarajiwakugharimukiasi cha shilingizakitanzaniamilioni 78.Aidha, Jengo la kituohicho cha mafunzolinajengwakwakutumiateknolojiayagharamanafuuiitwayoMoladinalinatarajiwakukamilikandaniya wiki nane.

No comments