Header Ads

Responsive Ads Here

LOWASSA AMJULIA HALI MBUNGE ESTER BULAYA ALIYELAZWA MUHIMBILI


Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mh. Edward Lowassa leo Agosti 23, 2017 amefika hospitali ya taifa ya Muhimbili kumjulia hali Mbunge wa Bunda mjini, Mh. Ester Amos Bulaya ambae anapatiwa matibabu hospitalini hapo baada ya kuugua ghafla akiwa mahabusu ya polisi mkoani Mara.No comments