Header Ads

Responsive Ads Here

KODI YA PANGO LA ARDHI KIDIGITALI


1 - Copy
Mtaalamu wa mfumo wa GePG (Government electronic Payment Gateway) kutoka Wizara ya fedha akielezea faida za mfumo kwa watumiaji pamoja na jinsi ya kuutumia katika kutoa huduma bora.

2 - Copy
Mafunzo juu ya matumizi ya mfumo wa GePG ya kitolewa kwa maofisa wa ofisi za Ardhi Nyanda za Juu Kusini
3
Wataalamu kutoka Wizara ya Ardhi pamoja na maofisa kutoka ofisi za Ardhi Nyanda za Juu Kusini wakifuatilia mafunzo kwa umakini
4
Mtaalamu kutoka Wizara ya Fedha akionesha mfano wa fomu za benki ya NMB ambazo mwananchi atapaswa kujaza akienda kulipia kodi ya pango la Ardhi katika benki hiyo.
5
Mtaalamu kutoka Wizara ya Ardhi(aliyesimama nyuma)akitoa msaada jinsi ya kutumia mfumo kwa maofisa wa ofisi za Ardhi Nyanda za Juu Kusini

No comments