Header Ads

Responsive Ads Here

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA BI. SIHABA NKINGA AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA SHIRIKA LA ‘WORLD EDUCATION INITIATIVE’ OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.


Pix 1

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga (wa pili kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la ‘World Education Initiative’ Bi Lilian Badi (hayupo pichani) walipofika kutambulisha programu ya ‘Waache Wasome’ katika Ofisi ya Wizara iliyoko UDOM Dodoma leo Agosti 04, 2017.

Pix 2

Mkurugenzi wa Maendeleo ya  Watoto Bibi Magreth Musai (katikati) akichangia hoja katika kikao kati ya  Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga(kulia) na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la World Education Initiative Bi Lilian Badi( wa pili kushoto)  walipofika kutambulisha programu ya ‘Waache Wasome’ katika Ofisi ya Wizara iliyoko UDOM Dodoma leo Agosti 04, 2017.

Pix 3

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la World Education Initiative Bi Lilian Badi(katikati) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga(hayupo pichani) walipofika kutambulisha programu ya ‘Waache Wasome’ katika Ofisi ya Wizara iliyoko UDOM Dodoma leo Agosti 04, 2017.
Picha na Erasto Ching’oro WAMJW

No comments