Header Ads

Responsive Ads Here

KAIMU KATIBU MKUU WA UVCCM SHAKA ATEMBELEA KAMBI YA JKT RUVU 832


jkt19
Kaimu Katibu Mkuu wa Uvccm Shaka Hamdu Shaka akiipata maelezo katika kitengo cha ushonaji nguo alipotembelelea jana  kambi ya jkt Ruvu 832 akifuatana na wajumbe wa sekr eteriet ya UVCCM Taifa. Kulia ni Kaimu katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo vikuu Daniel Zenda na mwisho kulia Mkuu wa Utawala Omar Ngwanangwalu

jkt13
Kaimu Katibu Mkuu wa Uvccm Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika mkutano wa ndani pamoja na makamanda wa Jeshi la kujenga Taifa jana  alipotembelea kambi ya jkt Ruvu 832 akifuatana na wajumbe wa sekreteriet ya UVCCM Taifa

No comments