Header Ads

Responsive Ads Here

JESHI LA ZIMAMOTO LAZINDUA KAMPENI YA NAMBA YA DHARURA 114 KUKABILIANA NA MAOKOZI YA MAISHA NA MALI


PIX 1
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114, itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto,ajali,mafuriko,tetemeko la ardhi na majanga mengine.Wengine ni Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali inayojishughulisha na kuzuia Uhalifu, ajali (UAC),Elliot Andrew naNaibu Kamishna Rasilimali Watu wa Jeshi hilo, Billy Mwakatage (kulia).Uzinduzi huo umefanyika leo Makao Makuu ya Jeshi,jijini Dar es Salaam

PIX 2
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akikabidhiwa kipeperushi na Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali inayojishughulisha na kuzuia Uhalifu, ajali(UAC), Elliot Andrew (kushoto),wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114, itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto,ajali,mafuriko,tetemeko la ardhi na majanga mengine.Kulia ni Naibu Kamishna Rasilimali Watu wa Jeshi hilo,Billy Mwakatage. Uzinduzi huo umefanyika leo Makao Makuu ya Jeshi,jijini Dar es Salaam
PIX 3
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, ThobiasAndengenye, akionyesha kipeperushi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114, itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto,ajali,mafuriko,tetemeko la ardhi na majanga mengine.Wengine ni Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali inayojishughulisha na kuzuia Uhalifu, ajali S(UAC), Elliot Andrew na Naibu Kamishna Rasilimali Watu wa Jeshi hilo,Billy Mwakatage(kulia).Uzinduzi huo umefanyika leo Makao Makuu ya Jeshi,jijini Dar esSalaam
PIX 4
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ThobiasAndengenye, akionyesha mfano wa uwekaji stika yenye Namba ya Dharura 114, itakayobandikwa kwenye vyombo vya usafiri na maeneo mengine kwa ajili ya kutumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto,ajali,mafuriko,tetemeko la ardhi na majang mengine.Uzinduzi huo umefanyika leo,Makao Maku uya Jeshi,jijini Dar es Salaam
PIX 5
Maafisa wa Jeshi waliohudhuria Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114, itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto,ajali,mafuriko,tetemeko la ardhi na majanga mengine, wakimsikiliza Kamishna Jenerali waJ eshi la Zimamoto naUokoaji, Thobias Andengenye (hayupopichani) wakati wa Mkutano na Waandishi wa Vyombo vya Habari.Uzinduzi huo umefanyika leo, Makao Makuu ya Jeshi hilo,jijini Dar es Salaam
PIX 6
Kamishna Jenerali waJ eshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (wa tano kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi hilo,Viongozi na Wadau walioshirikiana na Jeshi hilo uwezesha Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114, itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto,ajali,mafuriko,tetemeko la ardhi na majanga mengine.Uzinduzi huo umefanyika leo,Makao Makuu ya Jeshi,jijini Dar esSalaam.
Picha na Jeshi la ZimamotonaUokoaji
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, MAKAO MAKUU

No comments