Header Ads

Responsive Ads Here

IGP SIRRO AWASILI KILIMANJARO AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI ARUSHA


1
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, ACP Hamisi Issa, mara alipowasili katika mkoa huo akiwa njiani kuelekea mkoa wa Arusha, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ili kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao

2
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akiweka saini kwenye kitabu cha wageni mara alipowasili katika mkoa wa Kilimanjaro, akiwa njiani kuelekea mkoa wa Arusha, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ili kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao, kulia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, ACP Hamisi Issa.
3
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kulia), akizungumza na Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Ally Lugendo, na Mkuu wa chuo cha Polisi Moshi (CCP), SACP Ramadhan Mungi (kushoto), mara alipowasili katika mkoa wa Kilimanjaro, akiwa njiani kuelekea mkoa wa Arusha, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ili kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao.
Picha na Jeshi la Polisi.

No comments