Header Ads

Responsive Ads Here

IDEO:NAIBU WAZIRI WA AFYA KUZIPIGA JEKI HOSPITALI ZA MKOA WA RUVUMA.

Watanzania wametakiwa kuchunguza afya zao mara kwa mara iliwaweze kujua hali ya afya zao na kuondokana na magonjwa ambayo yanaweza kuwapata hasa yale ambayo si ya kuambukizwa ilikuweza kubaini afya zao kwa kuwa yanachukua kipindi kirefu mpaka mtu aje kugundulika kuwa anadalili za magonwa hayo. Kampeni hiyo ya uchunguzi kwa magonjwa ya saratani ya mlango wa kizazi.matiti,kifua kikuu na magonjwa yasiyo ambukizwa yamefanyika katika uwanjwa wa majimaji yakiongozwa na Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Dk.Hamisi Kigwangala.
 
WIZARA YA AFYA KUMWAGA MILIONI 84 MKOANI RUVUMA WIZARA YA AFYA KUMWAGA MILIONI 84 MKOANI RUVUMA

No comments