Header Ads

Responsive Ads Here

DKT TULIA ATEMBELEA BODI YA UTALII TANZANIA


1Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Tulia Ackson (kushoto), Mwenyekiti ya Bodi ya Wakurugenzi ya TTB,Mhe. Jaji Mstaafu, Thomas Mihayo (Kushoto) na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii, Bi. Devota Mdachi (katikati) wakiwa katika mazungumzo kwenye ukumbi wa mikutano wa TTB.

2Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akitoka katika ofisi za Bodi ya Utalii.
3
Wakiwa katika picha ya pamoja,Naibu spika, Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto) akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii, Mhe. Jajimstaafu,Thomas Mihayo (kushoto) Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Bi. Devota Mdachi na Afisa Uhusiano Mkuu wa TTB, Bw. Geofrey Tengeneza.
…………………….
NaibuSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia AcksonametembeleaBodi ya Utalii Tanzania (TTB) na kutana na uongozi wa Bodi kwa lengo la kubadilishanamawazokuhusumasualambalimbaliyanayohusuutalii wa Tanzania.
Katikaziarahiyo, Dr Tulia alipatamaelezokuhusushughulizinazofanywanaBodihiyo pamoja na namnainavyoshirikiana na wadauwengine wa utaliikatikakuvitangazavivutiovya Tanzania na maendleo ya sektahiyo kwa ujumlahapanchini.

No comments