Header Ads

Responsive Ads Here

DKT. SHEIN KATIKA HAFLA YA KUCHANGIA MFUKO WA MAENDELEO YA UWT ZANZIBAR.


DSC_1756
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
DSC_1749
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.

DSC_1776
Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wafanyabishara waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
DSC_1844
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa na Viongozi mbali mbali katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,ambapo kikundi cha Taarab cha Culture Muzical Club kilitumbiza katika hafla hiyo,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
DSC_1872
Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wafanyabishara waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar wakipata burudani ya Muziki uliopigwa na Kikundi cha Culture Muzicul Club  jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
DSC_1903
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi Cheti Bw.Jacob Moywaywa kutoka Hotel ya Breezes Beach akiwa ni miongozi mwa wachangiaji wa kiwango cha juu katika kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar katika hafla ya chakula cha hisani iliyofanyika jana ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]27/08/2017.
DSC_1911
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi Cheti Mkurugenzi Mkuu Abdukadir Mohamed Bujeti kutoka MECCO  akiwa ni miongozi mwa wachangiaji wa kiwango cha juu katika kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar katika hafla ya chakula cha hisani iliyofanyika jana ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]27/08/2017.
DSC_1920
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi Cheti Bw.Ali Kilupy kutoka Kendwa Roky Hotel akiwa ni miongozi mwa wachangiaji wa kiwango cha juu katika kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar katika hafla ya chakula cha hisani iliyofanyika jana ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]27/08/2017.
DSC_1939
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akipokea zawadi maalum kutoka kwa Dkt.Maua Abeid Daftari Mwenyekiti wa kamati ya kuhamasisha uchangiaji wa mfuko wa maendeleo ya UWT katika hafla ya Chakula cha hisani  cha kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar   katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
DSC_2406
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitia saini Picha yake ya kuchora iliyopigwa mnada na kuinunua Nd,Ali Kilupy wa Kendwa Rocky Hotel kwa thamani ya Silingi za kitanzania Millioni Mbili (katikati) wakati wa hafla ya Chakula cha jioni katika kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,(kushoto) mjumbe wa kamati pia mwakilishi wa jimbo la Tunguu Simai Mohamed said,[Picha na Ikulu.]27/08/2017.
DSC_2647
Katibu wa UWT Taifa Mhe.Amina Makilagi alipokuwa akipokea mchango kutoka kwa Akinamama mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha hisani cha kuchangia Mfuko wa maendeleo ya Wanawake Zanzibar katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
DSC_2907
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiwahutubia wananchi na Viongozi wakati wa hafla ya Chakula cha jioni katika kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

No comments