Header Ads

Responsive Ads Here

BENKI YA TPB, IFARAKA YATOA MSAADA WA MICHE YA KIVULI 150 YENYE THAMANI YA SH. 700,000 KATIKA SHULE ZA MSINGI 3 WILAYANI IFAKARA


2tp
Meneja wa Benki ya TPB Ifakara Amos Msechele akikabidhi miche hiyo kwa Afisa Elimu Msingi Halmashauri Mji Ifakara Bi Mariam Nnauye.


Shule hizo ni Mlabani, Jongo, na Kining’ina. Tukio lilifanyika Shule ya Msingi Jongo. Mgeni rasmi alikuwa mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Ifakara Bi Mariam Nnauye  ambaye ni Afisa Elimu Msingi Halmashauri Mji Ifakara)                        
 Nae Meneja wa Benki ya TPB Amos Msechele ametoa rai kwa wanafunzi wa shule hizo kuitunza miti hiyo ili ije kutumika hata kwa vizazi vingine hapo baadae. Vile vile uongozi wa shule uliipongeza benki ya tpb kwa msaada huo na kuwasihi  kuendelea na moyo huo wa kusaidia jamii hasa katika sekta ya elimu.
02TP
Meneja wa Benki ya TPB Ifakara Amos Msechele akimsikiliza mmoja wa wafanyakazi wa benki ya tpb Tawi la Ifakara.
3tp
Meneja wa Benki ya TPB Ifakara Amos Msechele na wafanyakazi wenzake wakiwa baadhi ya miche waliyoikabidhi kwa shule hizo.
4tp
Meneja wa Benki ya TPB Ifakara Amos Msechele na wafanyakazi wenzake wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi.
5tp
Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja .

No comments