Header Ads

Responsive Ads Here

BALOZI WA QATAR ALIPOWASILI OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU YA CCM, LUMUMBA DAR ES SALAAM, LEO


Ofisa wa Itifaki katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataigfa, Makao Makuu ya CCM, Frank Uhahula akimkaribisha Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, leo
 Ofisa wa Itifaki katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataigfa, Makao Makuu ya CCM, Frank Uhahula akiwa na Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufanya mazungumzo na katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, leo Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, akiingia ofisini kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, leo
 Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, na msaidizi wake wakimsubiri katika eneo la mazungumzo, ofisini kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, leo
 Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, akimsubiri  kwa hamu Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments