Header Ads

Responsive Ads Here

ARSENAL YAKUBALI YAISHI KWA SANCHEZ SASA KUTUA MAN CITY WAKATI WOWOTE


Inavyoelekea timu ya Arsenal sasa iko tayari kumuachia mshambuliaji wao hatari Alexis Sanchez kujiunga na  Manchester City,Lakini sharti lake ni kulipwa pauni milioni 70 na mshambuliaji Raheem Sterling.
Awali, Man City ilikuwa kutoa pauni milioni 50 na Sterling. Lakini Kocha Arsenal Wenger akasema watoe fedha hizo pamoja na mshambuliaji Kun Aguero, Man City nao hawakukubaliana nalo.
Hata hivyo kinachoonekana baada ya muda klabu hizo zitaelewana kabla ya dirisha kufungwa kesho saa sita usiku.

No comments