Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI WA FEDHA NA MPIANGO DK. PHILIP MPANGO ATEMBELEA BANDA LA (TPB) SABASABA


FI2
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akisalimiana na wafanyakazi wa TPB Bank wakati alipowatembelea katika banda la Wizara ya Fedha na Mipango, ambapo amewapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya jambo ambalo limepelea kupata faida kutokana na  huduma  zinazotolewa na benki hiyo, pia akuwapongeza kwa mara nyingine tena kwa gawio walilotoa kwa serikali la bilioni 1 iliyopatikana katika faida ya mwaka 2016.

Afisa Mawasiliano wa benki ya TPB Bank Bi.  Chichi Banda anawakaribisha wateja wote pamoja na wananchi wanaotembelea maonyesho hayo watembelee banda lao lililopo kwenye jengo la wizara ya fedha na mipango,  TPB Bank  itaendelea kuwepo kwenye maonyesho hayo hadi siku ya mwisho ambayo ni tarehe 13
FI3
Picha mbalimbali zikionyesha Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akipata maelezo mbalimbali wakati alipotembelea katika banda hilo.
FI4
FI1

No comments