Header Ads

Responsive Ads Here

Waziri Ummy afanya ziara Wilayani Lushoto


Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameweka jiwe la msingi wa ujenzi wa jengo la upasuaji katika kituo cha afya Kingagai,Wilayani Lushoto mkoani Tanga kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh. Martine Shigela.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza katika hafla hiyo.

No comments