Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili Mkoani lindi kwa ziara ya kikazi ya siku nne akiwa mkoani lindi ameanza ziara yake katika wilaya ya liwale kwa ajili ya kukagua shughuli za maendele  najioni yaleo atukuwa na mkutano wa hadhara nakuzungumza na wananchi wa liwale  pamoja na kusikiliza kero zao
Waziri Mkuu ameongozana na Mke wake Mery Majaliwa   ambapo walipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi  pamoja viongozi wa wilaya za Mkoa wa lindi ambao walifika katika mapokezi katika uwanja wa ndege wa Nachingwea
Waziri Mkuu hapo kesho ataenda kaika wilaya ya Ruangwa 

No comments