Header Ads

Responsive Ads Here

Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe aitambulisha rasmi Bodi ya Ushauri ya TaSUBa.

Pix 1
Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti mpya  wa Bodi ya Ushauri ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)  Bw. George Daniel Yambesi (kulia)  alipoitambulisha rasmi bodi  hiyo jana Jijini Dar es Salaam.

Pix 2
Wajumbe wakimsikiliza Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo katika picha) jana Jijini Dar es Salaam alipokuwa akiwatambulisha wajumbe wapya wa  bodi ya ushauri waTaasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa).
Pix 3

Pix 4
Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapya wa wa  bodi ya ushauri waTaasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa). (Picha na Lorietha Laurence-WHUSM).

No comments