Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI AMINA AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR.


DSC_1245
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Waandishi mara Baada ya kuzinduwa Baraza la Wazalishaji katika Hoteli ya Grand Palace malindi Mjini Unguja.

DSC_1261
Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wenye Viwanda Kilimo na Utalii(ZNCCIA)Taufiq Tourky akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya Kuzinduliwa kwa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace  malindi Mjini Unguja.(PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.)

No comments