Header Ads

Responsive Ads Here

WAYNE ROONEY AIFANYA VIBAYA GORMAHIA YA KENYA UWANJA WA TAIFA, APIGA BAO LA KWANZA TANGU AJIUNGE NA EVERTON KUTOKA MAN “U”


 Mshambuliaji wa Everton,Wayne Rooney,akijiandaa kupiga mpira uliozaa bao la kuongfoza kwa timu yake, wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki,uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Uningereza  unaotarajiwa kuanza mwezi ujao Katika mchezo huo Everton ilishinda mabao 2-1.(Picha kwa hisani ya SufianiMafotoblog)
 Shambuliaji wa Everton, Aaron Lennon (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Gor Mahia, Mussa Mohammed,wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki,uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mshambuliaji wa Everton,Wayne Rooney, akipongezwa na wachezaji wenzake, baada ya kuifungia timu yake bao la kuongoza katika kipindi cha kwanza.
 Gooooooooo, Bao la pili la Everton.
 Mshike mshike..

No comments