Header Ads

Responsive Ads Here

WATOTO 25 WALIPIWA GHARAMA ZA VIPIMO KATIKA TAASISI YA MIFUPA MUHIMBILI MOI

Mhasibu wa Kampuni ya Mkongo wa Mawasiliano kupitia Baharini (Seacom Tanzania) LTD, Michael Mwamlima (kushoto) akimkadidhi, Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili MOI,  Flora Kimaro  box lenye dawa na risiti ya gharama za vipimo, CT SCAN, MRI kwa watoto 25 na dawa na Msaada wa vitu Mbalimbali walivyotoa wenye Thamani ya Sh.  Milioni Kumi, wapili kulia ni Meneja wa Ustawi wa Jamii na Uhusiano wa Taasisi hiyo, Jumaa Almasi. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

Mhasibu wa Kampuni ya Mkongo wa Mawasiliano kupitia Baharini (Seacom Tanzania) LTD, Michael Mwamlima (wa pili kulia) akitowa maelekezo kwa wafanyakazi wenzake mara walipofika katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili MOI kutowa Msaada wenye Thamani ya  Sh. Milioni Kumi
Mtaalam wa Compyuta wa Kampuni ya Mkongo wa Mawasiliano kupitia Baharini (Seacom Tanzania) LTD, Tatu Laizer akimakata mtoto Angel Milanzi 1/11 mara baada yakufika katika WD ya watoto hao, kulia ni mama mzazi wa mtoto huyo, Khadija Shabani (27) na kushoto ni wafanyakazi wenzake na Laizer
Mhasibu wa Kampuni ya Mkongo wa Mawasiliano kupitia Baharini (Seacom Tanzania) LTD, Michael Mwamlima, akizungumza jambo na wazazi wa watoto hao 


Mtaalam wa Compyuta wa Kampuni ya Mkongo wa Mawasiliano kupitia Baharini (Seacom Tanzania) LTD, Tatu Laizer (kushoto) akimjulia hali mtoto Angel Milanzi 1/11  mara baada yakufika katika WD ya watoto hao, kulia ni mama mzazi wa mtoto huyo, Khadija Shabani (27) 
Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili MOI,  Flora Kimaro (kushoto) katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa na  Kampuni ya Mkongo wa Mawasiliano kupitia Baharini (Seacom Tanzania) LTD

No comments