Header Ads

Responsive Ads Here

VIONGOZI WA KIMILA MKOANI MBEYA WAUNGA MKONO KAULI MBIU YA HAPA KAZI TU.


unnamed
Na ZawadiMsalla-WHUSM
Viongozi wa kimila Mkoani Mbeya waunga mkonoj uhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika hatua mbalimbali za kuhakikisha Tanzania inafika katika uchumi wakat wa Viwanda .

Wameyasema hayo walipokuwa wakizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel katika ziara yake Mkoani humo na kuongeza kuwa ni vema Watanzania waungane kwa pamoja kufanikisha nia njema ya Rais, Dkt. Magufuli.
Akizungumza kwa niaba ya viongozi hao ,Chifu Rocket Mwashinga kutoka Igawilo alisema kuwa Rais anasisitiza wananchi kufanya kazi kwa bidii ili kuondokana na umaskini na kulijenga taifa.
“TufikishieujumbehuukwaMhe. Raisilihaovijanawetuwanaokimbiliamijinibadalayakukaanasisiwazeekulimanchiisiwenanjaawarudishwevijijiniwajewalimenakwamaendeleoyaobinafsinataifa”
 “InasikitishasanakuonasikuhizivijanawakilalamikiaSerikalikuwamaishanimagumuwakatiwameachamashambanawaondiyowatuwenyenguvuambapomagengemakubwayaujambazi, wabakajinawaleviwaliopitilizayaliyopohukomijiniyanatokananavijanawasionaajira”AlisemaChifuMwashinga.
AidhaWakuuhaowakimilawalielezakuwailikaulimbiuyaHapaKazituiwezekutekelezekawameiombaSerikaliiangalieutaratibuwakuwarudishavijijinivijanawasionaajirawaliopomijinikwakuwawaondionguvukazinachachuyamaendeleo.
PiaviongozihaowaliishauriSerikalikufufuakilimoshuleniambapohapoawaliwatotowalifundishwaelimuyakujitegemeakwakulimamashambanakujengamajengoyashuleni mambo ambayokwasasahayafanyiki.
“Tulifundishwakupendakilimotukiwashuleni ,watotowasikuhizihatajembehawajuikulishika” AlielezaChifu JosephMwalawa.
Kwa upandewake KatibuMkuuWizarayaHabari,Utamaduni,SanaanaMichezoProf. Elisante Ole Gabriel aliiombaofisiyaMkuuwaMkoakuwatambuawakuuhaowakimilailikwapamojawawezekusukumagurudumu la Maendeleoyataifa.

No comments