Header Ads

Responsive Ads Here

Vijana Waja na Mapendekezo Maboresho Sera ya Taifa ya Vijana

 TY1
Mwenyekiti wa Asasi ya Kiraia ya Dira ya Vijana Tanzania (TYVA) Bw. Suleiman Makwita akiwasilisha muhtasari wa uchambuzi wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana  ya mwaka 2007 mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) akiwa pamoja na baadhi ya wananchama wa asasi hiyo  Jijini Dar es Salaam.

TY2
Baadhi ya wananchama wa Asasi ya Kiraia ya Dira ya Vijana Tanzania (TYVA) wakifuatilia muhtasari wa uchambuzi wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana  ya mwaka 2007 uliokuwa ukiwasilishwa mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) na Mwenyekiti wa Asasi hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
TY3a

TY3bTY4
Wanachama wa Asasi ya Kiraia ya Dira ya Vijana Tanzania (TYVA) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kuwasilisha muhtasari wa uchambuzi wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana  ya mwaka 2007 kwa waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam.

No comments