Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:RPC RUVUMA- MADEREVA PIKIPIKI JAMII INATAMBUA HUDUMA ZENU.


Madereva pikipiki maarufu kwa jina boda boda wametakiwa kujitambua wao ni watu muhimu katika jamii inayowazunguka kutokana na huduma wanazotoa,Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa RUVUMA GIMINI MUSHY , wakati akizungumza nao katika ukumbi wa Songea Club uliopo Wilaya ya Songea Mkoani RUVUMA.habari kamili hii hapa video yake


No comments