Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:RC RUVUMA AAGIZA KUTAIFISHWA KWA MAGARI YOTE YALIYOHUSIKA NA UBEBAJI WA MBAO NA MKAA KINYUME NA SHERIA.

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dkt.Bilinith Mahenge atoa agizo kwa wiazara ya maliasili mkoa wa Ruvuma kuwachukilia hatua mara moja wale wote wanaohusika na ukataji miti ovyo na uchomaji mkaa ,rai hiyo ameitoa baada ya kukamata gari lililo beba mbao 400 zilizokuwa zinasafirishwa kunyume na sheria .HABARI KAMILI HII HAPA.


No comments