Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:BALOZI WA TANZANIA NCHINI MSUMBIJI AMEWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO.

Watanzania waishio katika mikoa ya MTWARA,RUVUMA wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo hususani katika majimbo mawaili ya CABO DELGADO NA NIASSA nchini MSUMBIJI,hayo yamesemwa na balozi wa tanzania nchini MSUMBIJI RAJABU LUHAVI wakati wa mkutano mkutano mkuu wa ujirani mwema kati ya TANZANIA NA MSUMBIJI mkoani RUVUMA.HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.
Virus-free. www.avast.com Attachments area Preview YouTube video BALOZI WA TANZANIA NCHINI MSUMBIJI AMEWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO BALOZI WA TANZANIA NCHINI MSUMBIJI AMEWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO

No comments