Social Icons

b

b

w

w

.

Saturday, July 15, 2017

VIDEO – VIONGOZI 6 WA CHADEMA AKIWEMO MBUNGE WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI RUVUMA


Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Gemini Mushy
Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia viongozi 6 wa kitaifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) akiwemo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma kupitia chama hicho ZUBEDA SAKURO , kwa kosa la kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa na kuzua vurugu wilayani Nyasa mkoani Ruvuma.

Hii hapa taarifa yake.


No comments:

Post a Comment