Header Ads

Responsive Ads Here

UNATAKA MKOPO WA MATREKTA KWA KILIMO AU MASHINE ZA VIWANDA VIDOGOVIDOGO WAONE AZANIA BANK


JK6
Bw. Victor Zephania Musendo Afisa Mikopo Benki ya Azania akitoa maelezo kwa wananchi Ali Ndila kulia na Bw. Abdallah Kigwalilo wakulima kutoka mkoani Morogoro waliofika kwenye banda la Benki hiyo lililopo kwenye banda kuu la NDC ili kupata maelezo kuhusu  mikopo ya Matrekta   katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K Njerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Katikati ni Said Tunda Meneja wa Uwekezaji NDC, Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje (TANTRADE)


JK7
JK5
Mtaalam wa Mikopo ya Nyumba (Mortigage Specialist) kutoka Benki ya Azania Bi. Liberia Peter akizungumza na wafanyakazi wenzake katika banda la benki ya Azania kwenye viwanja vya maonyesho ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.

No comments