Header Ads

Responsive Ads Here

UKITAKA KUPIMA AFYA NENDA BANDA LA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM


JK1
Dk. Pedro Palanyo Mkuu wa Idara ya Utafiti na Mafunzo Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete akimpima  kipimo cha moyo Mkurugenzi wa Mtandao wa Fullshangwe Bw. John Bukuku wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam., Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje TANTRADE na yanafanyika kila mwaka mwezi Julai.

JK2JK3
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete wakijadiliana jambo wakati walipokuwa wakiwapima afya baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda hilo.
JK4
Dk. Pedro Palanyo Mkuu wa Idara ya Utafiti na Mafunzo Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete aliyesimama kulia akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa taasisi hiyo katika banda lao kwenye maonyesho ya biashara ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.

No comments