Header Ads

Responsive Ads Here

TPB YAENDELEA NA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM


P1
Bw. Henry Bwoga Mkurugenzi wa Mikopo Benki ya TPB akizungumza na waandishi katika banda la benki hiyo na kuelezea huduma mbalimbali za kibenki zinazotolewa na TPB  kwenye maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dar es salaam, Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara TANTRADE na kufanyika kila mwaka mwezi Julai.

Mkurugenzi huyo amewakaribisha wananchi wanaotembelea maonyesho hayo kutembelea Banda la Wizara ya Fedha na Mipango ambamo TPB wanapatikana watapata maelezo ya huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo.
BP2P3
Bw. Henry Bwoga Mkurugenzi wa Mikopo Benki ya TPB akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wenzake wakati alipotembelea katika banda hilo leo.
P4

No comments