Header Ads

Responsive Ads Here

Simu za Motorola zarudi sokoni, zapatikana kwenye maduka ya Tigo

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael akiwaonyesha  waandishi wa habari simu aina ya Motorola MotoE+ na Moto E ambazo zipo sokoni kwenye  maonesho ya 41ya biashara sabasaba jijini Dar Es Salaam leo.Pichani kushoto ni Meneja wa Vifaa vya intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga na Christina Julius wa Motorola.
Mtoa huduma wa kampuni ya simu za Motorola, Dalha Suleiman akiongea na wateja waliokuja kwenye banda Tigo kwenye  maonesho ya 41ya biashara sabasaba jijini Dar Es Salaam leo.

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael akifafanua jambo kwa  waandishi wa habari simu aina ya Motorola MotoE+ na Moto E ambazo zipo sokoni kwenye  maonesho ya 41ya biashara sabasaba jijini Dar Es Salaam leo.Pichani kushoto ni Meneja wa Vifaa vya intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga na Christina Julius wa Motorola.
Waandishi wakichukua matukio wakati wa kutambulisha simu aina ya motorola

No comments