Header Ads

Responsive Ads Here

Serikali ya China yatoa msaada kwa Chuo cha Kikanda cha Uhamiaji Tanzania, TRITA, Moshi.


UMA1
 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dr. A. P Makakala, akielezea matumizi ya moja ya vyumba vya Maktaba ya Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda cha Moshi kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe, Mhandisi Hamad Massauni na , Mhe.Balozi Lu Youqing, kabla ya tukio la kupokea Msaada wa Vifaa vya TEHEMA vya thamani ya Shilingi 33 Milioni  toka Serikali ya Watu wa China, Mjini Moshi.

UMA2
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe, Mhandisi Hamad Massauni aliyesimama nyuma katikati,  akishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Makabidhiano ya ya msaada uliotolewa kwa Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda, Moshi na Serikali ya Watu wa China uliofanywa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. A.P Makakala na Balozi wa China nchini, Mhe.Balozi Lu Youqing, Mjini Moshi.
UMA3
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dr. A. P Makakala, akibadilishana Nyaraka za Makubaliano na Mhe.Balozi Lu Youqing, Balozi wa China nchini kuhusu  Msaada wa Vifaa vya TEHEMA vya thamani ya Shilingi 33 Milioni kwa Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda Moshi,  toka Serikali ya Watu wa China kupitia Ubalozi wake nchini, Mjini Moshi. Nyuma Katikati ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe, Mhandisi Hamad Massauni akishuhudia tukio hilo.

No comments