Header Ads

Responsive Ads Here

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AREJEA NCHINI

DSC_1094
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein akiteremka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Uingereza kwa ziara binafsi.

DSC_1112
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein akisalimiana na Makamo wa Pili wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Idi mara baada ya kuwasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Uingereza kwa ziara binafsi.
DSC_1118
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika kumpokea  baada ya kuwasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Uingereza kwa ziara binafsi.
DSC_1141

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments