Header Ads

Responsive Ads Here

PROF GODIUS KAHYARARA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Kahyarara akipata maelezo kuhusu huduma ya Mafao ya Matibabu Kutoka kwa Ofisa wa NSSF, Aisha Omari alipotembelea banda lao katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataida Dar es salaam (Sabasaba) yanayoendeela katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Kahyarara akipata maelezo kuhusu huduma mbalimbali kutoka kwa Afisa Uhusiano Aisha Sango na Christina Msengi alipotembelea banda la NSSF katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataida Dar es salaam (Sabasaba) yanayoendeela katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Kahyarara akipata maelezo kuhusu kifaa cha kuandikishia wanachama kutoka kwa Afisa matekelezo, Burhan Idrisa alipotembelea banda la NSSF katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataida Dar es salaam (Sabasaba) yanayoendeela katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam.
Maafisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiendelea kutoa huduma kwa wateja mbalimbali waliotembelea Banda la NSSF, katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataida Dar es salaam (Sabasaba) yanayoendeela katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam.
Maafisa kutoka shirika la taifa la hifadhi ya jamii (nssf) kitengo cha masoko na uhusiano kulia ni Anna Nguzo, Amani Marcel, Aisha Sango na Christina Msengi wakiwa katika picha ya pamoja kwenye maonesho ya sabasaba jijini D ar es salaam.

No comments