Header Ads

Responsive Ads Here

NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA AFANYA ZIARA KUKAGUA MAZINGIRA YA MTO MSIMBAZI


JANG1
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akizungumzana wanahabari katikati ya Mto Msimbazi chini ya Daraja la jangwani baada ya kupima kiwango cha hewa ya Oxygen katika maji ya mto msimbazi na sampuli za maji hayo kupelekwa katika katika maabara ya mkemia mkuu wa serikali kwa vipimo zaidi, ili kujua kama maji hayo yana madhara kwabinadamu, mazingira na viumbe hai wengine.

JANG2
Mto Msimbazi unavyoonekana
JANG3
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akiangalia kiasi cha hewa ya Oxygen kilichopo katika maji ya Mto msimbazi akisaidiwa na wataalamu kutoka katika maabara ya mkemia mkuu wa serikali hawapo pichani, katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Evelyn Mkokoi)

No comments