Header Ads

Responsive Ads Here

NAIBU WAZIRI KIGWANGALLA AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA BWENI LA WAZEE KAMBI YA KOLANDOTO NA KUZINDUA JIKO LA NISHATI YA GESI


Pix 1
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla (Mb) akisalimiana na Katibu wa Baraza la wazee wa Mkoa wa Shinyanga Mzee Faustine Sengerema wakati alipokuwa katika ziara ya Kutembelea Makazi ya Kulea Wazee wasiojiweza ya Kolandoto yaliyopo Shinyanga.

Pix 4
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) akisalimiana na naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Joyce Machiya wakati alipokuwa katika ziara ya Kutembelea Makazi ya Kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto mkoani Shinyanga.
Pix 5
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) akisalimiana na Kaimu Kamishina wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi  wakati alipokuwa katika ziara ya Kutembelea Makazi ya Kulea Wazee wasiojiweza ya Kolandoto yaliyopo Shinyanga.
Pix 7
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) akiangalia moja ya chumba wanapoishi wazee katika Makazi ya Kulea wazee ya Kolandoto Shinyanga  wa pili kushoto ni  Afisa Mfawidhi wa Makazi hayo.
Pix 9
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Nyabanganga Taraba akizungumza na wazee pamoja na wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi wa uwekwaji wa jiwe la msingi katika bweni la wazee, uzinduzi wa mradi wa majiko ya nishati ya gesi na ugawaji wa bajaji kwa makazi ya wazee nchini; hafla iliyofanyika katika kambi la Kolandoto, shinyanga.
Pix 10
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga(kulia) akiteta jambo na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb)(kushoto) wakati wa hafla ya uzinduzi wa uwekwaji wa jiwe la msingi katika bweni la wazee, sanjari na uzinduzi wa mradi wa majiko ya gesi na ugawaji wa bajaji kwa makazi ya wazee nchini. Tukio la uzinduzi lilifanyika kambi ya Kolandoto, Shinyanga.
Pix 11
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga akizungumza na wazee pamoja na wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi wa uwekwaji wa jiwe la msingi katika bweni la wazee uzinduzi wa mradi wa majiko ya nishati ya gesi na ugawaji wa bajaji kwa makazi ya wazee nchini.
Pix 13
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) akizungumza na wazee pamoja na wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi wa uwekwaji wa jiwe la msingi katika bweni la wazee uzinduzi wa mradi wa majiko ya gesi na ugawaji wa bajaji kwa makazi ya wazee.
Pix 15
Mwenyekiti wa Wazee waishio katika makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto Mzee Samwel Maganga akitoa shukrani zake kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) kwa kitihada za Serikali za kuwajengea bweni jipya, kuwakabidhi majiko ya gesi na bajaji kwa ajili ya huduma ya usafiri kwa wazee.
Pix 17
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa Bweni la wazee waishio katika makazi ya wazee wasiojiweza ya Kolandoto Mhandisi Harold Jackson Mtyana wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara ya kukagua ujenzi huo na kuweka jiwe la msingi.
Pix 18
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) akilsililiza  Katibu wa Baraza la wazee wa Mkoa wa Shinyanga Mzee Faustine Sengerema mara baada ya kuweka jiwe la Msingi katika jengo la bweni la wazee katika makazi ya wazee waisiojiweza ya Kolandoto mkoani Shinyanga.
Pix 20
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) akisililiza matumizi ya nishati ya jiko la gesi kutoka kwa Afisa Mfawdhi ya Makao ya wazee Kolandoto katika Manispaa ya Shinyanga, muda mfupi kabla ya uzinduzi wa matumizi ya majiko hayo katika vituo vya makao ya wazee na watoto hapa nchini.
Pix 21
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) akikata utepe katika moja ya bajaji kuashiria ugawaji na matumizi rasimi ya bajaji hizo katika makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto Shinyanga  kwa niaba ya Makazi mengine nchini.
Pix 23
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) akimkabidhi funguo ya bajaji Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto Bi Sophia Kang’ombe  kwa niaba ya maafisa Wafawidhi katika makazi mengine nchini.
Pix 25
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) akimkabidhi Sanduku la Huduma ya kwanza Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Kulea Wazee wasiojiwezaya Kolandoto Bi Sophia Kang’ombe  kwa niaba ya maafisa Wafawidhi katika makazi mengine nchini.
Pix 26
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) akicheza Mziki na baadhi ya wazee waishio katika Makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto Shinyanga katika hafla ya uwekwaji wa jiwe la msingi katika bweni la wazee, uzinduzi wa mradi wa majiko ya gesi na ugawaji wa bajaji kwa makazi ya wazee nchini.
Pix 28
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Mkoa na Wilaya ya shinyanga , Idara Kuu ya Maendeleo  ya Jamii  na baadhi ya  wazee waishio katika Makazi ya Kulea wazee wasiojiweza nchini.
Picha na Erasto Ching’oro WAMJW

No comments