Header Ads

Responsive Ads Here

Mwenyekiti wa UVCCM Kibaha Iddi Kanyallu achangia vikundi vya Jogging


mzi
Mwenyekiti Wa jumuiya ya vijana (UVCCM) Mji Wa Kibaha, Mkoani Pwani ,Iddi Kanyallu kulia  ,akiongoza vikundi vya vijana vya Jogging ,ikiwa ni moja ya kujenga afya ya miili yao, Iddi Kanyalluamechangia vikundi vya vijana vya Jogging vitano mjini hapo ,ambapo kila kikundi alikichangia 50,000 ,ili kutunisha mifuko ya vikundi hivyo na kuahidi kuvipatia jezi .(Picha na Mwamvua Mwinyi 

No comments