Header Ads

Responsive Ads Here

MSUVA ATUA SALAMA NCHINI MOROCCO, ANACHOSUBIRI SASA NI VIPIMO VYA AFYA


Mshambulizi Simon Msuva ametua nchini Morocco salama na kupokelewa na wenyeji wake.
Msuva amesafiri kwenda Morocco kwa ajili ya kumalizana na klabu ya Difaa Al Jadid ya nchini humo.
“Nimefika salama, kwa sasa napumzika kwanza mambo mengine yatafuatia,” alisema Msuva.
Msuva anatarajia kumalizana na kujiunga na Difaa Al Jadid ambayo msimu uliopita ilishika nafasi ya pili na itashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.

No comments